Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Tuesday, December 16, 2014

News Alert: Hali ya Mbarali ni mbaya; zaidi ya wanaCHADEMA 30 wamerundikwa ndani


Hali ya Mbarali ni mbaya; zaidi ya wanaCHADEMA 30 wamerundikwa ndani; wakina mama kama 12. Wameteswa kwa kumwagiwa maji na kugalagazwa chini kwenye kituo cha polis Rujewa. Kuna hadi mzee wa miaka kama 70 katolewa hadi shati yupo kifua wazi

Wengi wamekamatwa usiku, wengine leo baada ya taharuki iliyo tokea jana Kapunga kwenye upigaji kura. Na leo hii baadhi ya maeneo uchaguzi unarudiwa. So, baadhi ya wapiga kura wa CHADEMA wapo ndani

Katibu wa wilaya Mbarali Nicko yupo polis sasa na madiwani wawili wakijaribu kufanya taratibu za kujua kinacho endelea.

No comments: