Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Saturday, December 27, 2014

Joseph Mbilinyi "Sugu" afunika bovu Kyela


Katika Mkutano wa muendelezo wa ziara anayo fanya Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu" mkoani Mbeya na Nyanda za Juu kusini, leo alikuwa Kyela ambako ameacha histroia. Umati wa wana Kyela na vitongojivyake ulio jitokeza kwenye mkutano huu wa Mbunge kuwashukuru wana Kyela baadfa ya dhama walio mpelekea Prof. Mark Mwandosya kwenye chaguzi za serikali za  mitaa; si kuwa umeonyesha kukubalika kwa CHADEMA, bali umeonyesha utayari wa mabadiliko na kutuma ujumbe wa wazi kwa Prof. Mwandosya kuwa 2015 akea mkao wa kuachia madaraka kwa amani. Watu wamejoshwa!
Juu na chini msafara wa kwenda kwenye mkutano
Katika mkutano huu Mh. Sugu aliongozana na mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Mbeya Ndg. Tito aka Nyama Ndogo lakini Mzito
Mh. Sugu akiendelea kumwaga sera huku Katibu wake na Mwenyekiti mpya wa Forest-Mbeya, Ndg. Kwame Elly Anangisye akisimamia na kuhakikisha itifaki inazingatiwa

Mwenyekiti wa CHADEMA-Mbeya Ndg. China naye alikuwepo kuweka mambo sawa
 Katibu BAVICHA-Mbeya, Kamanda Tito aka Nyamba Ndogo lakini lakini Mzito naye alikuwepo
 Umati wa wana Kyela ukiwa umemzunguka mh. Sugu na convoi yake



No comments: