Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Sunday, December 28, 2014

WATEMBEA KWA MIGUU KUTOKA GEITA KUELEKEA DAR ES SALAAM KUPINGA UFISADI

Vijana watatu wakiwa na ari na ustadi wa kuonyesha jinsi wanavyo pingana na hali ya ufisadi, rushwa, katiba pendekezwa na udhalimu wa CCM; wame amua kutembea kwa miguu kutoka geita hadi Dar Esalaama. Kwa sasa hawa vijana wanao ongozwa na Khalid Suleiman wapo katikati ya Morogoro na Pwani. Vijana hawa wamekuwa barabarani kwa siku 36.

Tunaombwa yeyote anaye guswa na wito wa hawa vijana wasaidie chochote kwaajili ya chakula na maji ili kuifanya safari yao ya mafanikio. Mwenye chochote unaombwa kusaidia kupitia moja kwa moja kwa kiongozi wa msafara simu number 0764 789950. BAVICHA Dar Es  Salaam wameandaa mapokezi yao makubwa

 Walipo fika kwa Sokoine
Walikutana na Prof. Jay maeneo ya Morogoro
 Wamekuwa wakipokelewa kila mji wanao fika
 Safari bado inaendelea


No comments: