Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Sunday, April 27, 2014

VIDEO: MWIGULU NCHEMBA ALIPO IKANA TANGANYIKA, WASHINGTON D. C.


Alipo kutana na waTanzania na Wazanzibar nchini Marekani ndani ya Ubalozi wa Tanzania Washington D. C. , April 26, 2014 Mh. Nchemba alikana kuwepo kwa Tanganyika na kusema hakuna kitu kama hicho. Alisistiza afadhari angekuwa mzee labda tungetarajia afe ndio Tanganyika irudi, lakini kwa kuwa kijana; tutasubiri sana hadi Tanganyika irudi.  Kwa kifupi Mh. Nchemba amesema Tanganyika hairudi yeye akiwa hai.  Haya majigambo ya huyu muheshimiwa yanathibitisha kauli yake kuwa, kurudi kwa Tanganyika ni "over my dead body"

No comments: