Read Brigade ya CHADEMA yakamata gari linaloaminika lina kura
feki jioni hii Kalenga, Good job vijana!
Wakati
huo huo Kwa kile kilichoonekana kuegemea doctrine ya Rais Kikwete ambaye pia ni
Mwenyekiti wa CCM kuwa viongozi na makada wa CCM hasa Green Guard waache
Unyonge na kuwaasa kupambana na wapinzani badala ya kutegemea vyombo vya dola
kama ilivyokua kawaida,Muda mfupi uliopita Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA
Bi.Rose Kamili ametekwa na vikosi vyenye rekodi ya kufanya uhalifu kipindi cha
uchaguzi vya Green Guard vinavyomilikiwa na CCM
Katika
kutimiza jitihada hizi za kutisha wapiga kura,Kuna taarifa kuwa Jeshi la Polisi
limeanza kushirikiana na CCM tangu jana katika propaganda za kisiasa na pia
kuhujumu CHADEMA.Pia zipo taarifa za kujaribu kuwabambikizia makosa yakiwemo ya
rushwa na vurugu,viongozi na wafuasi wa CHADEMA ili waweze kuwakamata na
kuwaweka ndani kwa lengo la kutisha na kuvuruga zoezi la kupiga kura pamoja na
kuzilinda.
Hadi
muda huu kuna taarifa nyeti zilizovuja kuwa Green Guard wanajiandaa kuvamia
kambi za CHADEMA usiku huu ili kuvuruga uchaguzi wa Kesho.Red Brigade kwa sasa
wamewekwa katika hali ya tahadhari.
Hizi
ndizo siasa wanazotaka kufanya CCM. CHADEMA kimefunga mkutano wa kampeni kwa
kishindo muda mfupi uliopita huku mkutano wa CCM ukipata wahudhuriaji wachache
kuliko kipindi kingine chochote cha historia ya chama hicho jimboni Kalenga
Yericko
Nyerere
No comments:
Post a Comment