Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mh. Nassari aka dogo Janja. Hapa ni kijiji cha Ng'wado, kata ya Ngarenanyuki-Arumeru leo. Agenda: katiba mpya, maboresho ya daftari la wapiga kura, serikali za mitaa, miradi ya maendeleo na taarifa ya fedha halmashauri. 
Mbunge Tundu Lissu akiendelea kuweka bayana agenda tisa za CHADEMA kwenye Operation Pamoja Daima
No comments:
Post a Comment