Team Dr. Slaa leo imefanyamikutano ya hadhara sehemu tofauti; kijiji cha Kasanga mkoani Rukwa, kata ya Santila mkoani Mbeya, Sumbawanga na Vwawa Mbozi. Agenda kuu zikiwa:
-Mchakato wa katiba mpya katika hatua ya Bunge la Katiba na kura
ya maoni
- Daftari la kudumu la wapiga kura
- Uchaguzi wa madiwani katika kata 27
- Ujenzi wa chama ngazi za chini
- Uchaguzi ndani ya chama
- Uchaguzi serikali za mitaa
- Kuandaa umma kwa uchaguzi mkuu 2015
- Kero zinazowakabili wananchi
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Dk. Willibrod Slaa akionyesha kadi za wananchama wapya waliotoka vyma vingine
na kujiunga na Chadema, wakati wa mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja
Daima, uliofanyika mjini Sumbawanga jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleeo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akinadi mgombea udiwani wa Kata ya Santilia mkoani jimbo la Mbeya Vijijini, Elisha Mwandele wakati na mkutano wa hadhara wa Oporesheni M4C Pamoja Daima jana.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Madelene (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akimnadi mgombea udiwa wa Kata ya Kasanga kupitia chama hicho, Festo Katoato, wakati wa mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika katika kijiji cha Kasanga mkoani Rukwa jana

Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
akiagana na wanachi wa kijiji cha Santilia, jimbo la Mbeya Vijijini baada ya
mkutano wa hadhara wa Oporesheni M4C Pamoja Daima jana











No comments:
Post a Comment