Team Mnyika, Lema na Issa: M4C Operation Pamoja Daima Kigoma kaskazini MKONGOROMapokezi makubwa yafanyika yakifuatiwa na maandamano kuelekea uwanjani MKONGORO sokoni

Team Mnyika, Lema& Issa: M4C Operation Pamoja Daima Kigoma ikiwa jukwaani wakati Mh. Mnyika akihutubia
Mh. Myika akiweka agenda za Operation Pamoja Daima wazi:katiba mpya, maboresho ya daftari la wapiga kura, serikali za mitaa, miradi ya maendeleo na taarifa ya fedha halmashauri.



No comments:
Post a Comment