Ratiba ya leo mikutano ya M4C- OPD
Timu ya Makamu Mwenyekiti Said Issa
Mohamed, Godbless Lema na John Mnyika
Baada ya jana kupata mapokezi ya
shamrashamra na maandamano makubwa ya wananchi wa Kigoma, leo itakuwa na
mikutano maeneo ya;
Kasulu mjini, Manyovu (Kilelema) na
Ngara (Kagera).
Timu ya Katibu Mkuu Dkt. Slaa;
Mbeya mjini, Mbarali, Ilembula
(Waging'ombe, Makambako na Njombe mjini.
Timu ya Mwanasheria Mkuu Lisu na
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Heche
Mto wa Mbu, Karatu, Mbulu, Katesh na
Babati
M4C- Operesheni
Pamoja Daima ndiyo habari ya mjini na vijijini. Tutakwenda pamoja daima na
CHADEMA.

No comments:
Post a Comment