Baadhi ya wananchi wa mji wa Mbeya wakiwa wabeba mabango yenye ujumbe
mbalimbali, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima wa Chadema, uliofanyika kwenye Uwanja wa Lwanda Nzovwe mjini Mbeya jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod
Slaa akihutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod
Slaa akiwa amembeba mtoto Sheila Shukurani (3), kabla ya kuhutubia mkutanowa hadhara matika mji wa Makongorosi mkoani Mbeya jana
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu', akiwahutubia wananchi wa mji
wa Mbeya na vitingiji vyake katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe jana.
Mbunge wa Mbozi Mashariki, Davi Silinde (Chadema), akiwahutubia wananchi wa
mji wa Mbeya, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe mjini Mbeya jana.
Slaa na Sugu kuondoka Makongorosi;
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod
Slaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu', wakiondoka kwa
shamrashamra, baada ya kuhutubia mkutano wa hadahara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika katika mji wa Makongorosi mkoani Mbeya jana.






No comments:
Post a Comment