Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Saturday, December 28, 2013

Ngara yazizima; Kamanda Mawazo na Dr. kabangira waisambaratisha CCM


Nianze kwa kutaja majina ya wenyeviti wa vitongo waliohamia chadema leo:

1) ISSA MAGAMBO kitongoji cha Mulugunga
2) NESTORY SESHAHU lunyonga 
3) MAYABAGABO kitongoji cha Kumutukula katibu wa wilaya Cuf 
4) Mgombea CCM wa ubunge kura ya maoni Dr. Bujari kapokelewa rasmi leo 

5) JENIROZA BARUNGULA wanawake wilaya NCCR

6) Muhoza Mbunda Katibu kata CCM (mjini) nk.
 



Mleta habari anatumia simu ya mchina na ni vigumu kutaja wote, kadi zilizorejeshwa ni mamia kwa mamia, mtaona kwenye mitandao mingine naamini, huwezi kuuita mkutano wa hadhara bali ni sherehe ya mavuno ya kufungia mwaka.

No comments: