![]() |
| Dr. Slaa Kasulu, Kigoma |
Pamoja na Mbinu Chafu za Kutaka
Kuvuruga Mkutano wa Chadema Kasulu Uliokuwa Unahutubiwa na Dr Slaa, lakini
wananchi wengi wa Kasulu walijitokeza kumsikiliza Dr Slaa na kufurahishwa na
hotuba yake iliyobeba maneno ya kuwapa Matumaini. Kulikuwa na kikundi cha
Vijana wapatao kumi wenye mabango ambayo yaliandaliwa mahsusi ili yatumike
kuvuruga mkutano huo lakini mbinu zao chafu zimeshindikana.
Ili kuzima mipango
yao michafu vijana hao walipewa fursa ya kukaa mbele na mabango yao yenye ujumbe
wa kuwaponda viongozi wa Chadema. Vijana hao walipewa fursa hiyo ili kuonyesha
kwamba Chadema kinaendeshwa kwa Demokrasia ya kumruhusu mwanachadema yeyote
kutoa mawazo yake anayopenda ili kudumisha Demokrasia ndani ya Chama.

No comments:
Post a Comment