Ziara inaendelea, hapa ni
Kijiji cha Janda, Jimbo la Manyovu, wilayani Buhigwe, mkoani Kigoma. Leo ni
siku ya 5, mikutano 10 hadi sasa, majimbo 5 kati ya 8 ya mkoa wa Kigoma. Mkutano wa pili unaendelea eneo la Mnanila, Jimbo la Manyovu,
wilayani Buhingwe.
Dkt. Slaa anajumuika kucheza ngoma ya wenyeji waliomkaribisha kwa bashasha


No comments:
Post a Comment