Sasa ni dhahiri CCM Imezidiwa.Matokeo ya Uchaguzi wa Kata
mbalimbali uliofanyika Jumapili yamepeleka kilio kikubwa CCM. Ni kweli pia kwamba kwa Idadi ya Kata CCM imepata kata nyingi
Lakini ikizidiwa kwa jumla ya kura na Chadema. Ikumbukwe pia kuwa idadi kubwa ya wafuasi wa Chadema ambao ni
vijana bado hawajaandikishwa katika daftari la kudumu la wapiga kura.
Ni dhahiri Chadema sasa inasambaa kama moto wa nyika na
matumaini ya kukamata dola uchaguzi mkuu ujao yanazidi kuongezeka. Yafuatayo ni matokeo ya Kata 14 tuliyoyapata mpaka sasa ambayo
yanaonyesha kura za Jumla Chadema imeizidi CCM kwa kura 1859.
ISEKE-SINGIDA
CCM 791
CDM 831
NYAMPULUKANO-SENGEREMA
CCM1088
CDM 1483
DONGOBESH-MBULU
CCM 974
CDM 1558
BASHNET-BABATI
CCM 1130
CDM 2008
IYELA-MBEYA
CCM 1163
CDM 1918
IFAKARA-KILOMBERO
CCM 3723
CDM 4353
MINEPA-ULANGA
CCM 1164
CDM 1004
STESHENI-NACHINGWEA
CCM 806
CDM 353
NGANGANGE-KILOLO
CCM 600
CDM 223
GENGE-MUHEZA
CCM 347
CDM 326
TINGENI-MUHEZA
CCM 363
CDM 244
MANCHILA-SERENGETI
CCM 672
CDM 623
MASANZE-KILOSA
CCM 833
CDM 623
RUNZEWE MASHARIKI-SENGEREMA
CCM 604
CDM 570
JUMLA KUU KATA 14
CCM 14258
CDM 16117
Source: Molemo (June 2013). CHADEMA Yazidi kung'ara. Retrieved from Jamii Forums
No comments:
Post a Comment