Angalia taswira mbali mbali za msaada wa vifaa vya elimu katika Shule tofauti za Kizimkazi Kusini Unguja, siku ya Alhamis Aug 28, 2014.
Ebou Shatry na Swahilivilla Blog wakabifhi msaada wa vitabu na kalamu katika shule mbalimbali Unguja
Msaada wa vifaa vya elimu ukiingia shuleni
Kalamu zikiwa mezani
Ebou akifurahia wakati na watoto wa shule kabla ya kukabidhi zawadi
Ebou alitoa ujuzi wa elimu pia
Kuwa na muda na watoto ni tunu kwa Ebou
PLEASE HELP US!
Ebou Shatry akimkabidhi msaada wa vitabu mwalimu mkuu wa shule ya Maandalizi "Nursery School) Bi Talha Mussa wa Kizimkazi Kusini Unguja Alhamis Aug. 28, 2014
No comments:
Post a Comment