Kikosi cha kazi kikihakikisha 2015 ni ushindi tu. Mkakati maalumu wa kukiwezesha chama kisayansi umesukwa. Tunakwenda kushinda kwa kishindo na Heshima. Salamu kutoka Chadema Houston Texas. Uwezo tunao, sababu tunazo, ujuzi tunao na nia tunayo. Umasikini wa mtanzania lazima upate majibu 2015
No comments:
Post a Comment