NAMNA CHADEMA ILIVYOSHAMBULIA KWA KIKWETE- MAENEO YOTE HAYO
YAKO KWENYE KATA INAKOISHI FAMILIA YA RAIS KIKWETE
Juu na Chini: Mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey, akisdalimiana na wananchi wa kijiji cha Lugoba, baada ya mkutano wa kampeni kijijini hapo juzi.
Mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la
Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey,
akisdalimiana na wananchi wa kijiji cha Lugoba, baada ya mkutano wa kampeni
kijijini hapo juzi.
No comments:
Post a Comment