Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Thursday, April 3, 2014

PICHA: CHADEMA KAMPENI CHALINZE


Kiongozi Mkuu wa kimila wa wamasai, Tikwa Moreto (kushoto), akiongozana na mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Mathayo Torongey (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Issa Saidi Mohamed walipokwenda nyumabni kwake kwa jaili ya kuomba baraka zake leo.
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Miono wakiitikia kauli mbiu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ya "Peoples Power" wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Miono jana.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA), Issa Said Mohamed akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Miono, katika mkutano wa kampeni, olio fanyika kijijini hapo
Kiiongozi wa kimila wa wamasai, Tikwa Moreto (aliyeketi), akishiriki kumwombea mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Dempkrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Mathayo Torongey (wa tatu kushoto), nyumabni kwa kiongozi huyo kijiji cha Gumba, Kibaha Vijijini leo.

No comments: