Panaitwa
Kidung'hwe, Kata ya Msoga kwao mkulu...hakuna barabara kuna kile ambacho
kinaitwa mapitio ya mifugo. Tumekwama hapa imebidi hata mgombea kuingia front
kuwa injinia wa barabara ya kuchonga ili tuwahi kampeni. Karibu saa ya 2 sasa.
Baba miaka 15 akiwa mbunge wa jimbo hili, waziri kamili wa fedha, waziri wa
nishati madini na sasa...alishindwa kujenga barabara, mtoto anataka kupewa
ubunge anasema atawaletea wananchi matrekta kila mtu na lake sijui au kila
kijiji...utafikiri wimbo wa Prof. J 'Ndiyo Mzee'
Juu na chino mgombea Ubunge jumbo la Chalinze Ndg Mathayo Torongey akijaribu kupiga kazi kuli nasua kari ya M4C
No comments:
Post a Comment