Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Sunday, September 29, 2013

Wakati Dr. Slaa akitikisa U. S. A., Mh. Freeman Mbowe yupo Denmark


Mh. Freeman Mbowe akihutubia chama cha Conservative nchini Denmark

Mbowe akihutubia mkutano mkuu wa chama cha Conservative......Denmark jana tarehe 27.09.2013, jana alikutana na Mawaziri wawili mmoja ni wa mambo ya nje na yule wa Biashara, alizungumzia mambo mbalimbali kama ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, kuminya kwa uhuru wa habari na mauaji ya kisiasa yanayoendelea Tz.

kesho atakutana na wabunge wa Bunge la Denmark , ambao ni wajumbe wa kamati ya mambo ya nje ya Bunge hilo.

Dr. Slaa akutana na majeruhi wa Vita ya Afghanistani nchini Marekani; Ajifunza kuhudumia maveterani wetu 


Majeruhi, mashujaa wanamuziki wakipiga picha ya Pamoja na kiongozi wa CHADEMA. Mh. Slaa. Ingawa hawarudi kwenye hali yao ya kawaida. Wamemuahidi Dr. Slaa kwamba chini ya miaka miaka, miwili, Tamasha lao la kimataifa itakuwa Tanzania. Wameguswa na unyenyekevu wa Dr. Slaa

No comments: