Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Friday, August 16, 2013

MABARAZA HURU YA KATIBA MPYA, CHADEMA, DKT. SLAA AKIWA KATESHI, BASHANETI NA BABATI


Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr Willibrod Slaa akitoa elimu ya katiba mpya  kwenye viwanja vya Kwaraa mjini Babati kwa ajili ya  kukusanya maoni ya Katiba kupitia Baraza la Katiba la  Chama hicho Mkoani Manyara jana.
 Katibu Mkuu wa Chadema,Dk Willibrod Slaa akipokea   maoni ya Katiba kupitia Baraza la Katiba la Chama hicho eneo la Kateshi Mkoani Manyara juzi


FOLENI; Wakazi Kateshi Mkoa wa Manyara wakiwa kwenye foleni  ya kutoa maoni ya 
Katiba kupitia Baraza la Katiba la  CHADEMA.


No comments: