MFUKO WA ELIMU: MBUNGE NA M/KITI WA MFUKO WA ELIMU MBEYA, JOSEPH MBILINYI PAMOJA NA WATENDAJI WA MFUKO HUO LEO WALIPOTEMBELEA OFISI ZA COCA COLA- IYUNGA MBEYA NA KUKABIDHIWA CHEKI YA TSHS 5,000,000/- KWA AJILI YA KULIPIA ADA NA SARE KWA WATOTO 100 WA SEKONDARI WASIO NA UWEZO CHINI YA MBEYA EDUCATION TRUST FUND- METF..
Source: Joseph Mbilinyi Facebook wall. Follow Sugu on Facebook Click here
No comments:
Post a Comment