Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Tuesday, February 19, 2013

LIVE UPDATES KUTOKA MWANZA

Maandamano makubwa ya amani baada ya mkutano, kutoka Furahisha hadi nyumbani Hotel

Hawa ni baadhi ya makamanda walioshiriki "Vita" ya vitongoji na vijiji
SEHEMU ya maelfu ya wananchi wa Jiji la Mwanza wakiitikia wito uliotolewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, akiwataka kunyoosha mikono juu ikiwa ni ishara ya kupiga kura ya maoni kumtaka Waziri wa Elimu na Mafunzo, Shukuru Kawambwa na naibu wake, Phillip Mulugo, wajiuzulu kutokana na matokeo mabaya ya mitihani ya Kidato cha IV, ambayo kiongozi huyo (Mbowe) aliyaita ni msiba wa taifa, akisema chama hicho kitaitisha maandamano makubwa nchini kuwataka mawaziri hao wang'oke.

Akiwapigia saluti watu wa Kanda ya Ziwa, baada ya ushindi wa vijiji huko Muleba na juzi Magu‏

Huyu ndiye Kamanda Alphonce Mawazo, moja ya makamanda Kanda ya Ziwa‏
Maandamano ya amani yanasonga
Kilio 'msiba' wa elimu nchini, leo Viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza.

1 comment:

Anonymous said...

Daaa hongereni makamanda! Wao walwasomba na malori! Sisi wanakuja wenyewe!