SEHEMU ya maelfu ya wananchi wa Jiji la Mwanza wakiitikia wito uliotolewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, akiwataka kunyoosha mikono juu ikiwa ni ishara ya kupiga kura ya maoni kumtaka Waziri wa Elimu na Mafunzo, Shukuru Kawambwa na naibu wake, Phillip Mulugo, wajiuzulu kutokana na matokeo mabaya ya mitihani ya Kidato cha IV, ambayo kiongozi huyo (Mbowe) aliyaita ni msiba wa taifa, akisema chama hicho kitaitisha maandamano makubwa nchini kuwataka mawaziri hao wang'oke. |
1 comment:
Daaa hongereni makamanda! Wao walwasomba na malori! Sisi wanakuja wenyewe!
Post a Comment