MBUNGE
wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), ameunga mkono msimamo wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) wa kuwataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupiga kura ya
wazi katika kufanya uamuzi.
Zitto
ameweka wazi msimamo wake jana kwenye kurasa zake za mitandao ya Facebook na
Twitter akiwashauri wajumbe wa Bunge hilo kutoendelea na malumbano ya namna ya
kupiga kura kati ya zile za siri au za wazi na badala yake kura ya wazi ipewe
nafasi.
Alisema:
“Nasikia kampeni zinaendelea Dodoma kuhusu uamuzi huo. Siasa zetu tunazifanya
ni ‘zero-sum game’, kwamba anayepata anapata vyote, na anayekosa anakosa vyote,
haipaswi kuwa hivyo hata kidogo.”
Matutu
Shaban/Tanzania Daima
No comments:
Post a Comment