Katika
muendelezo wa kuwatishia wananchi wa Iringa ukitoa kuwakata mapanga na
kuwachoma visu; Meya, Jerry Slaa, amediliki kuwatishia wananchi wa Iringa kuwa
wasipo mchagua Mbunge wa CCM Ndg Mgimwa Jr. hawatapata huduma za maji,
hawatapata huduma za barabara, hawatapata huduma za afya. Na hii ni kwa sababu
nchi inaongozwa na CCM kwa hiyo wasipo chagua CCM hawatapona.
Mr. Meya,
umejishushia hadhi sana kwa hizi cheap politics. Inaonyesha ni vipi wewe na CCM
wako mnaweza kuipeleka Kalenga kubaya endapo jimbo litaongozwa na chama cha
upinzani. Ni busara kufanya ya maendeleo kwa ajiri ya nchi na sio uchama.
In a nutshell;
Meya ametumia technique ya kuwatishia wanaKalenga ili waweze kuichagua CCM.
"fear technique propaganda"
No comments:
Post a Comment