Teleconference on Thursday March 13,
2014. 8pm Eastern Standard Time.
Call # 1 605 475 4000; Pin 465 481
Hii teleconference
ni kwaajili ya kupanga mbinu za michango kumsaidia muwakirishi wa diaspora
Dodoma kwenye Bunge la katiba. Michango
itamsaidia kuandaa "seminars" ambazo zitahudhuriwa na wabunge wa Bunge maalumu la
katiba kwaajili ya lobbying. Seminars hizo ni kwaajiri ya kutoa elimu ya uraia wa nchi mbili.
No comments:
Post a Comment