Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Saturday, March 8, 2014

BREAKING NEWS: M'kiti wa CHADEMA achomwa kisu cha mbavu Kalenga

CCM Waanza Kutekeleza Agizo la Mh. Kikwete Kalenga

Baada ya M/Kiti wa CCM Taifa Kuwaagiza WanaCCM wenzake kuwa wasiwe Wanyonge kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kalenga, Hatimaye Vijana wa Chama hicho wameanza kuonyesha nguvu na ukatili wao kwa kumchoma kisu cha Mbavu Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda siku moja tu baada ya Mama Mzazi wa Kijana huyo ambaye alikuwa Mjumbe wa Serikali ya Kijiji hicho kwa tiketi ya CCM kuamua kuhamia CHADEMA kwa madai ya kuchoshwa na siasa zisizokuwa na mwelekeo za Chama hicho

Pichani ni Daktari akiwa amezamisha kidole chake kwenye jeraha la Ndugu Richard wakati alipokuwa akimsafisha kidonda baada ya tukio hilo. HATUTAACHA HALI HII IENDELEE

Source: Kurugenzi Ya Habari CHADEMA

No comments: