Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Thursday, January 23, 2014

Team Dr. Slaa: PICHA: M4C Oporasheni M4C Pamoja Daima

 Baadhi ya wananchi walikuwa kwenye mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima ulihutubiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, katika Kata ya Malindo wilayani Rungwe, wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbali mbali jana.

 Msigwa kuhutubia Kyela;nMbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa akiwahutubia wananchi wa mji wa Kyela, katika mkutano wa hadhara wa Oporasheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kwenye Uwanja wa Siasa jana.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Mbinga, ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa mikutano ya Oparasheni Pamoja Daima juzi.

 Baadhi ya wakazi wa Peramiho wakiitikia kibwagizo cha 'Peoples Power wakatiwa mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima juzi.

 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Kyela, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima, kwenye Uwan ja wa Siasa jana.

 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokerasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Mbamba Bay, baada ya kuhutubia mkutano wa hadharawa Oparesheni Pamoja Daima juzi


 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akuhutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Namtumbo, ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa mikutano ya Oparesheni M4C Pamoja Daima juzi.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akimnadi mgombea udiwani katika Kata ya Malindo wilayani Rungwe, Nocodemos Mwakalile, wakati wa mkutanowa hadhara jana.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akiwasili mjini Songea ambako alihutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima juzi.

No comments: