Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Thursday, January 23, 2014

John Mnyika M4C Operation Pamoja Daima Tabora





Hii video ni hotuba ya M4C- Operesheni Pamoja Daima, Timu ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed na John Mnyika, wakiwa Tabora mjini katika Uwanja wa Uyuwi jana Januari 22, siku ya kwanza ya operesheni.
Leo Alhamis, Januari 23 Timu hiyo itafanya mikutano katika maeneo ya Sikonge (Tutuo), Mpanda Magh (Kalema na Mwese), Mpanda Mash. (Majimoto) na Mpanda Mjini.
Timu ya Dkt. Slaa itakuwa katika maeneo ya Ludewa, Makete, Rungwe na Kyela mjini.
Timu ya Tundu Lissu na John Heche itakuwa;

Same, Mwika, Tarakea, Hai na Moshi mjini.

No comments: