Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu', akihutubia
mkutano wa hadhara ikiwa ni mfululizo wa mikutano ya Operesheni M4C Pamoja
Daima, uliofanyika katika mji wa Chamara mkoani Mbeya jana.
Aliyekuwa Katibu wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM), Tawi la Isitu, Chimala mkoani Mbeya, Felix Komba akizungumza
katika mkutano wa Operesehni M4C Pamoja Daima mbele ya Katibu Mkuu wa CHADEMA
Dk. Willibrod Slaa, baada ya katibu huyo kujiunga na CHADEMA wakati wa mkutano
huo uliofanyika Chimara jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.
Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Makmabako, katika mkutano wa
hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima
Wananchi wa mji wa Njombe na vitongoji wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliofanyika mjini Njombe jana.

Wananchi wa mji wa Njombe na
vitongoji wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima, wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliofanyika mjini Njombe jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema), Dk.
Willibrod Slaa akiwasili katika mji wa Chimala mkoani Mbeya, ambako alifanya
mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Cadema), Dk. Willibrod Slaa akimnadi mgombea udiwani katika Kata
ya Njombe Mjini kupitia chama hicho, Agrey Mtamba, wakati wa mkutano wa hadhara
wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Njombe.









No comments:
Post a Comment