CHADEMA
kuanzia kesho inafanya operation kubwa ya nchi nzima kwa muda wa wiki mbili.
Operation hii itakuwa na CHOPPER tatu kwa mpigo kwenye kanda 8 za Tanganyika.
Kikosi
cha kwanza kitakuwa cha Mwenyekiti, Kikosi cha pili kitakuwa cha katibu Mkuu na
Kikosi cha tatu kitakuwa cha wabunge.
Wakati
huo huo kutakuwa na Kikosi cha ardhini chenye wabunge na maafisa wa makao
makuu.
WE REPORT, YOU DECIDE
No comments:
Post a Comment