Pichani chini ni mkutano wa ufunguzi wa CHADEMA Morogoro ukianza kwa kishindo,
kwa mahudhurio ambayo CCM hawajawahi kupata siku za karibuni. Mhe. Juma Tembo,
ambaye ni mgombea wa udiwani kwa tiketi ya CHADEMA alionekana kulimudu jukwaa na
kusababisha nderemo na vifijo kwa watu wa Tungi, Tubuyu, ambao waliahidi
kumpatia kura zote. Mpaka sasa CCM hawajaanza kampeni. Kamanda wa Anga Mhe. Mbowe anategemea kutua na Chopa tarehe 22, Kata hii itatoa taswira kwa uchaguzi
wa serikali za mitaa utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Picha na habari; Cummunist/JF
No comments:
Post a Comment