Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Wednesday, October 2, 2013

Dr. Slaa and VOA interview washington, D.C. September 2013

TAHAZARI!
Video hizi zimerekodia kwa simu ya kiganjani; hivyo basi, zinaweza zisiwe na ubora ambao unatarajia, lakini tumeona ni vizuri kuzitoa ili wale walio kosa fursa ya kusikiliza mahojiano haya kupitia Voice of America moja kwa moja kutoka Washington, D. C., Marekani, siku ya Alhamis September 24, 2013. nao wapate fursa ya kusikiliza busara za Dr. Wilbrod Slaa.  Samahani kwa ubora usio lizisha. 

Dr. Slaa and VOA interview washington, D.C. September 2013 Part 1

Dr. Slaa and VOA interview washington, D.C. September 2013 Part 1

1 comment:

Anonymous said...

Tahadhari & na sio tahazari! jamani!