AFRICAN EVENT “ MATUKIO YA AFRICA” KUPITIA VOA
Sikiliza mahojiana ya Dr. Slaa na VOA leo
Alhamis September 26, 2013 kupitia Voice of America, VOA. Kipindi kitakuwa saa 1:30 Usiku (7:30pm) kwa
saa za Africa Mashariki na Saa saba na nusu mchana (1:30pm) kwa saa za America
ya mashariki (Eastern standard time)
Unaweza kusikiliza kupitia Radio Free Africa,
Radio Tumaini, Cocunut FM n.k
Kwa
wa online nenda VOA website hapa VOA
1 comment:
nimekwenda kila mahala kutafuta interview ya Dr.Slaa na VOA siioni ebu nielekeze nini cha kufanya?hiyo Link uliyoitoa haikunifikisha kwy hiyo interview
Post a Comment