Karibuni Watanzania wote kwenye Mkutano Mkubwa wa
Muungano wa Vyama vyote Upinzani siku ya Jumamosi tarehe 21/09/2013 katika
viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuanzia saa 6:00 Mchana.
Mkutano huo utatanguliwa na Maandamano ya amani yatakayoanzia Tazara hadi
Uwanjani saa tatu asubuhi.
Mada kuu ni Katiba Mpya. Viongozi wakuu wa vyama pamoja na wataalam wa Katiba
na sheria hapa nchini watatoa mada kwa Watanzania wote.
Siku ya Jumapili tarehe 22/09/2013 Mkutano Mkubwa utafanyika Unguja.
Tunatarajia kuwarushia matangazo hayo kwa njia ya Online radio tutawapa link
baadae pia tutawapa Live updates kupitia mitandao yote ya kijamii. Karibuni
sana.
KATIBA NI YA WATANZANIA WOTE
No comments:
Post a Comment