Mgeni rasmi atakuwa ni mwanasiasa mwenye kipaji cha pekee na
muhimili muhimu wa CHADEMA – katibu wa CHADEMA Arusha na kanda ya kaskazini
ndugu Amani Golugwa.
Itakuwa ni siku nzuri kujiburudisha kwa nyama choma, vinywaji na
muziki free of charge. Lengo ni kuwakutanisha wapenda maendeleo katika
kubadilishana mawazo na kujumuika katika harakati za kimaendeleo kwa taifa.
Hii shughuli si kwa wanaCHADEMA peke yake. Kila mTanzania mpenda
maendeleo anakaribishwa kuhudhuria. Ni wakati mzuri kukaa pamoja tukijiburudisha
huku tukibadilishana mawazo on party lines kiutu uzima bila malumbano. Wakati
ni huu kuonesha utashi na ukomavu wa kisiasa.
Chakula na vinywaji bure!!!
Karibuni wote
No comments:
Post a Comment