Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Wednesday, September 18, 2013

Dr. Slaa kuunguruma Washington D.C. Sept. 22, 2013

Mkutano na Dr. Willibrod Slaa Jijini Washington D.C.

Viongozi na wanachama wa CHADEMA DMV wanapenda kuwakaribisha Watanzania wote Kuhudhuria mkutano na Dr. Willibrod Slaa utakaofanyika Siku ya Jumapili September 22, 2013 Mida ya 1:pm Mchana hadi 6:pm

Adress: 1401 Unirvesty Blvd. Langley Park. Md 20783 (Mirage Hall)
Karibuni tuje tujadiliane kuhusu maendeleo ya nchi yetu.

Maelezo zaidi wasiliana na Liberatus Mwang'ombe "Libe"  (240) 423-3331 Baby Mgaza (202) 200-5031,
Hussein Kauzela (614) 653 - 1137

 waTanzania wote mnakaribishwa

No comments: