- Wiki nzima hii nipo Mkoa wa Mbeya
tayari nimeenda Wilaya 5 za mkoa huu, nimeshangazwa sana na jinsi hili Taifa
ambavyo tumeshindwa kuitumia Ardhi ya mkoa huu kwa faida ya Taifa. I mean ni
mkoa wenye ardhi yenye rutuba ya ajabu sana ilitakiwa Taifa letu tufanye
mipango ya kitaifa ya kuwekeza seriously kwenye Kilimo mkoani hapa kwa niaba ya
Taifa, siadhani kama kuna hata siku moja hili taifa tungekuja patwa na balaa la
njaa kama inavyotokea kila wakati.
- Ujumbe wangu kwa Serikali ni
kwamba it is not too late, ni lazima tutafute njia za kuwekeza kwenye Kilimo
katika huu mkoa wa Mbeya, hatutakuja kupatwa na balaa la njee tena maana hii
ardhi ni nzuri mno badala ya kuiacha inakaa bure na kilimo cha wakulima wadogo
wadogo!!
Le Mutuz Live In Mbeya: LEO SAFARI
YA WILAYA YA RUNGWE!!
No comments:
Post a Comment