Mbunge wa Mbeya mjini Mh. Joseph Mbilinyi amepata ajari maeneo
ya kasheki wilayani Hanan’g akielekea
Arusha.
Mh. Mbilinyi alikuwa anaelekea kuungana na wabunge wengine wa
CHADEMA kwenye kuwaaga marehemu waliopoteza maisha siku ya Jumamosi kwenye
mkutano wa kufungia kampeni za udiwani.
Habari njema ni kuwa katika ajari hiyo hakuna mtu yeyote aliye
jeruhiwa na mbunge Sugu yupo salama. Ila gari la Sugu limeharibiwa vibaya baada
ya kugongana na basi la abiria.
Thechoicetz
No comments:
Post a Comment