Mengi
yameanza kujulikana baada ya shuhuda aliyemuona mtu aliyerusha bomu kusimulia,
akishuhudia chini ya kiapo mbele ya wakili anasema
"Nilikuwa
nimesimama pembeni mwa gari la hotuba majira ya saa 12 kasorobo jioni siku ya
tarehe 15 Juni 2013 nilimwona mtu aliyevaa helmeti ya polisi akishuka kwenye
gari namba PT. 1179 na kurusha kitu kilicholipuka baadaye kukimbia na kuingia
gari la kiraia lililokuwa mbele ya gari la polisi alilokuja nalo baadaye gari
hilo kuondoka likisindikizwa na gari la polisi alilokuja nalo"
Source: EasyFit (June 2013). Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika. Retrieved from Jamii forums
No comments:
Post a Comment