Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Sunday, May 26, 2013

Prof. Lipumba akiwa Msikitini na Siasa za Tanzania





Hii inaenda kwa dini zote na tume ya katiba.


Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuunda katiba mpya

TANZANIA SIO TAIFA LA DINI YOYOTE 

Tanzania haitumii Quruani wala Biblia kufanya maamuzi kwa sababu sio Taifa la dini yoyote

Tanzania ukienda mahakamani una jinasua au hukumiwa  kulingana na SHERIA/KATIBA , sio kulingana na Biblia au Quruani

Nimeandika haya kama ONYO kwa Rais Jakaya Kikwete na Tume ya katiba.  Kosa kubwa watakalo fanya kwenye katiba mpya ni kuruhusu upuuzi alio kuwa akiujadili Prof. Lipumba kwenye msikiti mmoja jijini Dar. kuhusu mahakama ya KADHI.

TUNAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI NA SIO BIBLIA WALA QURUANI NA TANZANIA SIO TAIFA LA DINI YOYOTE

Pia, Asante Professor Lipumba kwa information kuhusu kumsaidia JK na uchaguzi wa 2010. Asante!

Mwisho, asante tena Lipumba kwa ushauri wako kuhusu MAHAKAMA YA KADHI kuwepo kwenye katiba mpya, but you are WRONG ON THIS ONE. 


No comments: