Hii ndiyo tuzo aliyotunukiwa Dr. Wilbroad Slaa na CHADEMA tawi la chuo kikuu cha SAUT Mwanza, kutambua mchango wake katika kuwatumikia Watanzania kwa kupigania demokrasia na utawala bora nchini.
Dr. Slaa alikabidhiwa tuzo hiyo na aliyekua mwenyekiti wa tawi hilo Bw. Samwel Mpate ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Morogoro mjini.
Source: Mabichi M. (May 2013). Hii ndio tuzo aliyotunukiwa Dr.Slaa na CHADEMA SAUT. Retrieved from Jamii Forums

No comments:
Post a Comment