Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Tuesday, May 21, 2013

Baadhi ya wananchi 1500 ambao ni wakulima wa mpunga Mbeya watashindwa pakuhifazi mazao

Zaidi ya wananchi 1500 ambao ni wakulima wa mpunga katika kata ya Utulo wilayani Mabarali mkoani Mbeya mwaka huu watashindwa mahali pa kuhifadhi mazao yao katika mfumo wa stakabadhi gharani baada ya uongozi wa kijiji cha Utulo kutumia nguvu kuhujumu ghala la wananchi na kumpangisha mtu mmoja kwa manufaa binafsi

No comments: