Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Friday, April 12, 2013

Mh. mbilinyi (Sugu) alipuka Bungeni



Wakati akichangia bajeti ya PM, Mh Mbilinyi ametumia lugha kali sana dhini ya serikali na Mwigulu Nchemba akazua ubishi mkubwa kati yake na Speaker..

Ameanza kwa kusema kuwa "Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe" na hivyo hivyo serikali pumbavu hubomoa nchi.

Akasema kuwa walimnyanyapaa Mbatia na hoja yake ya Elimu na kukumbatia wapumbavu kama akina Mwigulu; na sasa matokeo ya Form 4 2012 yamewaumbua.

Amelaumu usalama wa Taifa kwa kushindwa kumshauri Rais hadi akamteua waziri wa elimu mwenye elimu ya kuunga unga.

Alipotakiwa kufuta neno upumbavu alikataa kata kata..

Source: Cirty D. (April 2013). Mh. mbilinyi (Sugu) alipuka Bungeni. Jamii Forums.

No comments: