Baadhi ya vijana wa kimasai wanaosihi katika kijiji cha Magulamatali, wakifurahia na mabango yenye picha za mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey, baada ya mkutano wa kampeni leo.
Mgombea wa ubunge katika jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey akiruka juu kucheza ngoma ya kimila ya kimasai baada ya mkutano wa kampeni katika kijiji cha Magulumatali leo.
Makamu Mwewnyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Issa Said Mohamed akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho mmoja wa vijana wa kimasai, Kikoti Mang'wela ambaye alirejesha kadi ya CCM na kujiunga na chama hicho, baada ya mkutano wa kampeni leo.
No comments:
Post a Comment