Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Friday, February 21, 2014

Bango litakalo tumika kumuuza Mgombea wa CHADEMA uchaguzi wa KALENGA.

Hili ndio bango litakalo tumiwa kumuuza mgombea wa CHADEMA Bi Tendega Grace Mvanda kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi Machi 16, 2014 CHADEMA inataraji kuzindua kampeni zake jimboni Kalenga tarehe 22 Februari 2014.

Bi Grace Mvanda anapigania kiti akiwa anajua changamoto za jimbo la Kalenga ambalo hazikupata msemaji mahiri kwa muda wa zaidi ya miaka 50 ya utawala mbovu wa CCM.



Wanakalenga watarajie Bi Grace Mvanda kufanya yafuatayo jimboni Kalenga:-

1. Kukomesha michango ya manyanyaso kwa wanakalenga.
2. kukomesha ufisadi kwenye halmashauri ya Kalenga
3. kupigania wanawake na vijana kupata fursa za kiuchumi
4. Kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora ya maji safi na salama
5. Kuhakikisha wakulima wanapata pembejeo kwa wakati
6. Kuboreshaji miundo mbinu ya barabara
7. Utoaji wa elimu bora naya uhakika kwa wote
8. Uboreshaji wa huduma za afya

No comments: