Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora

Wasiliana nasi : chademadiaspora@gmail.com -Fair and Balanced Platform- Twitter @ChademaDiaspora
----------------------WE THANK AND APPRECIATE YOU FOR VISITING CHADEMA DIASPORA BLOG. AGAIN, THANK YOU!-----------------------

Friday, January 31, 2014

PICHA; M4C- OPD, kutoka Polisi Iringa hadi kuitikisa Pwani na kujionea 'maajabu' ya elimu Chalinze

 Wananchi wa Kata ya Kibindu, Chalinze, Pwani wakipiga pipooooooz power ya nguvu mkutano uliohutubiwa na Mwenyekiti wa Taifa Mbowe, Makamu wake Said Issa Mohamed, Peter Msigwa na Halima Mdee leo
 Hapa Mwenyekiti Mbowe akisalimina na mke wa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Pela, Khadija Ali, katika Kata ya Kibindu jimbo la Chalinze mkoani Pwani, ambako alitembelea kujionea hali makazi ya mwalimu huyo, leo.

Wananchi wa Kata ya Kibindu, Chalinze, Pwani wakipiga pipooooooz power ya nguvu mkutano uliohutubiwa na Mwenyekiti wa Taifa Mbowe, Makamu wake Said Issa Mohamed, Peter Msigwa na Halima Mdee leo

No comments: