![]() |
Ms. Lyimo |
“Silaha pekee ya kuwashinda maadui hawa ni elimu bora, maana elimu kama inavyobainishwa na sera ya elimu na mafunzo ni mchakato ambao mtu hupata maarifa na ujuzi wa kujitambua na kujiweka sawa katika kupambana na mazingira na mabadiliko ya mara kwa mara ya kijamii, kisiasa na kiuchumi,” alisema. Tugara aliwaasa wahitimu hao 53 wajipange kukabiliana na mipango ya kuhujumiwa kwa Katiba mpya na kudai kuwa hapo ndipo penye nia ya kupata haki za kielimu zilizokosekana kwa miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika. Mwalimu wa shule hiyo, Mariam Omary, akisoma risala ya shule, alisema shule hiyo inakabiliwa na ukosefu wa maji, uzio na kompyuta kwa ajili ya somo la Tehama.
Source: Chogogwe Z. (Oct. 2013).Mbunge ataja chanzo cha kuporomoka elimu. Retrieved from Tanzania Daima
No comments:
Post a Comment