Dr. Wilbroad Slaa amealikwa kwa mahojiano na WPFW Radio ya
Washington, D.C., U.S.A. siku ya jumatano October 9, 2013. Saa saba mchana kwa saa
za Amerika ya mashariki (1pm U.S Eastern time)/ Saa mbili usiku saa za Afrika
mashariki (8pm East Africa time).
Kumefanyika jitihada
za kuushirikisha ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kushiriki mahojiano haya
bila kuwa na mafanikio. Bado jitihada za kuushirikisha ubalozi zinafanyika
mpaka hivi sasa.
Baadhi ya mambo yatakayo jadiliwa ni hali ya siasa Tanzania,
hali ya kijamii, hali ya kiuchumi, amani na usalama wa Tanzania na mengineo.
Bofya hapa kusikiliza WPFW radio live WPFW Radio
Kadhalika, Dr. Slaa atasikika katika WIBC FM 93.1 ya Indianapolis. Greg Garrisson Show ndiyo moja ya Vipindi maarufu nchini Marekani. Hiki kipindi kinasikika nchi nzima. Tune in saa 3 Asubuhi (Tatu asubuhi). EST. WIBC FM 93.1

No comments:
Post a Comment